Miradi Offered
ProgramU ya Elimu Ya Afya
Programu hizi hutoa nafasi kwa watu kujifunza mbinu na mazoezi ya Capacitar ili kuyaingiza katika maisha yao ya kila siku. Malengo ni:
Watu wazima: Warsha za saa 1 hadi siku 5
Watoto: Mafunzo endelevu ya saa mojo moja
Walimu mashuleni: Kutambulisha Capactar; saa 1 hadi 2. Mafunzo ya wiki moja moja mara mbili Warsha za marudio.
Wanafunzi: Hujifunza kutoka kwa walimu wao
Gharama:
Saa 1 – Masaa 4 Tshs. 20,000/=
Masaa 5 – Masaa 8 Tshs. 50,000/=
Gharama zinaweza kubadilika.
MAFUNGO
Mafungo kwa watu wazima. Kila mafungo ni pekee kulingana na hali, muda na hitaji. Mafungo hutenda mambo mawili:
Gharama:
Saa 1 – Masaa 4 Sh. 20,000/=
Masaa 5 – Masaa 8 Sh. 50,000/=
MAFUNZO YA WAWEZESHAJI
Hutoa nafasi kwa watu kujifunza Capacitar ili waweze kuyatumia mazoezi haya katika kazi na maisha yao kwa ujumla. Pia waweze kuwafundisha wengine. Masharti ya kujiunga na mafunzo haya:
Awamu 4 kwa kipindi cha mwaka 1. Kila awamu masaa 20.
Kila awamu Sh. 60,000/= (Sh. 240,000/= jumla)
Gharama zingine:
Vijitabu, T-shirts, CD’s na DVD’s

- Kuboresha mtiririko wa nguvu
- Kukuza makini na uwezo wa kujifunza
- Kuboresho ulinganifu wa hisia
- Kuponya mwili na Kujitunza kiroho
- Misingi ya kuondoa ukatili
- Kuponya athari za majanga (Trauma)
- Kuimarisha uongozi na Ujengaji wa timu
Watu wazima: Warsha za saa 1 hadi siku 5
Watoto: Mafunzo endelevu ya saa mojo moja
Walimu mashuleni: Kutambulisha Capactar; saa 1 hadi 2. Mafunzo ya wiki moja moja mara mbili Warsha za marudio.
Wanafunzi: Hujifunza kutoka kwa walimu wao
Gharama:
Saa 1 – Masaa 4 Tshs. 20,000/=
Masaa 5 – Masaa 8 Tshs. 50,000/=
Gharama zinaweza kubadilika.
MAFUNGO
Mafungo kwa watu wazima. Kila mafungo ni pekee kulingana na hali, muda na hitaji. Mafungo hutenda mambo mawili:
- Kujitunza kiroho
- Kukuza mtiririko wa nguvu
Gharama:
Saa 1 – Masaa 4 Sh. 20,000/=
Masaa 5 – Masaa 8 Sh. 50,000/=
MAFUNZO YA WAWEZESHAJI
Hutoa nafasi kwa watu kujifunza Capacitar ili waweze kuyatumia mazoezi haya katika kazi na maisha yao kwa ujumla. Pia waweze kuwafundisha wengine. Masharti ya kujiunga na mafunzo haya:
- Uwezo wa kujua na kuelewa nadharia
- Kujifunza mazoezi
- Kujifunza namna ya kufundisha mazoezi
- Kufanya majaribio kwa vitendo